SERIKALI kupitia bodi ya filamu nchini imemkalia kooni mwigizaji, Aunt Ezekiel na kumtaka aondoe baadhi ya vipande vya sinema yake mpya iitwayo Scola vinginevyo haitaruhusiwa kuingia mtaani.
Thursday, June 27, 2013
HAWA NDIO MASTAA 20 WENYE USHAWISHI ZAIDI NCHINI TANZANIA
Wakati mwingine si kitu rahisi kupima ushawishi lakini tutaangalia ni wazo mawazo gani ya mtu, mifano gani ya mtu, kipaji gani cha mtu na ugunduzi gani wa mtu uliobadilisha jambo katika nchi yetu. Hawa ndio mastaa 20 wa burudani, michezo na urembo Tanzania wenye ushawishi mkubwa zaidi
1. Wema Sepetu
WAKILI WA HENRY KILEO NA JOYCE KIRIA AFUNGUKA.
Henry na Joyce siku yao ya ndoa
RE: HENRY JOHN KILEO.
BAADA YA SINTOFAHAMU KUHUSU KILICHOMSIBU HASA HENRY JOHN KILEO, NA BAADA YA MAJIBU YA JESHI LA POLICE KUHUSU JUHUDI ZA JOYCE KIRIA KILEWO KUFAHAMISHWA ALIKO MUMEWE HENRY JOHN KILEWO, NA BAADA YA MASWALI MENGI KWANGU KAMA WAKILI WA KILEWO NA KIRIA, NIMEONA YAFAA NITOE MAELEZO HAYA KWA KIREFU.
Wednesday, June 26, 2013
Tume ya Uchaguzi yaahirisha uchaguzi wa Madiwani Arusha
Tume ya Uchaguzi ya Taifa imetangaza kuahirisha uchaguzi mdogo wa Madiwani uliokuwa ufanyike tarehe30.06.2013 katika Kata nne -Elerai, Themi, Kaloleni, Kimandolu- za halmashauri ya Manispaa ya Arusha.
Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema badala yake uchaguzi huo utafanyika tarehe 14 Julai 2013.
Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema badala yake uchaguzi huo utafanyika tarehe 14 Julai 2013.
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU...YADAI POLISI WANARUHUSIWA KUPIGA NA KUUA KISHERIA

Serikali imetoa tamko bungeni kuhusu mauaji ya raia mikononi mwa polisi ikieleza kuwa sheria ya kanuni ya adhabu inaruhusu kutumia nguvu za kadiri hata kiasi cha kusababisha madhara au kifo.
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi (Sugu) ameachiwa na hizi ndio sababu
Kuhusu Joseph Mbilinyi 'Sugu', Mbunge wa Mbeya Mjini. Ni kweli alikuwa polisi Dodoma, alikoitwa kwa madai ya kutoa lugha ya matusi kwa Ndugu Mizengo Pinda, lakini hajaandikisha maelezo, kwa sababu 3, zifuatazo:
1. Wakili wake, Tundu Lissu, amewaambia kuwa Polisi hawawezi kumkamata na kumhoji Mbunge Sugu, iwe ukumbini, maeneo ya bunge, au nje ya maeneo ya bunge, wakati bunge likiendelea, kutokana na parliamentary immunity aliyonayo hadi polisi watakapofuata taratibu zinazotakiwa.
2. Neno hilo wanalotuhumu kuwa ni lugha ya matusi, si tusi kwa sheria za nchi yetu, bali linaweza kutumika kwa vitu au mtu anayefanya matendo au kusema maneno yanayostahili kuitwa hivyo.
3. Wakili wake (Tundu Lissu)kawauliza, nani mlalamikaji katika tuhuma hizo, je wamepokea malalamiko ya Ndugu Pinda mwenyewe? Majibu yalikuwa ya kigugumizi"
Wameondoka polisi kwa makubaliano ya kurudi kesho asubuhi.
ULINZI WA RAIS OBAMA JIJINI DAR NI BALAA....MITAMBO MBALIMBALI YA MAWASILIANO IMEFUNGWA UWANJA WA NDEGE WA KIA

Maandalizi ya ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama nchini yanazidi kupamba moto hukumaofisa wa usalama wa Marekani wakipiga kambi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Sunday, June 23, 2013
BAADA YA KUPOTEZA MASHABIKI WENGI, MWANAFA AJUTIA KUANZISHA BIFU NA JAYDEE...!!
Kutokana na hilo FA aliamua kufunguka; “Tunaishi na watu hivyo lazima mtagongana, hata mapacha wanakosana na kusameheana, lakini wakati mwingine shida inawafanya mnapatana,” alisema Mwana FA.
Thursday, June 20, 2013
Lulu Amponza Dk Che ni...Avamiwa.....Gari Lake Lavunjwa Kioo
STAA mkubwa wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadh ’Dk. Cheni’, amevamiwa
na watu wawili wanaodaiwa ni vibaka na kufanyiwa fujo, kisa kikidaiwa
kuwa ni dhamana aliyomwekea mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika
ile kesi ya kifo cha Steven Kanumba.
Baada Ya Kuachiwa Na Polisi Wabunge Wa Chadema Wasimulia Mkong'oto Waliopata

Lissu
Lissu, ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, alilalamikia kitendo cha polisi kumwagia maji ya kuwasha baada ya kumkamata.
“Walinimwagia maji ya kuwasha kwa mfululizo nikalazimika kulala chini kifudifudi huku nikiwa nimefunika macho kukwepa yasiingie maji. “Kuna askari walitaka kunipiga lakini niliokolewa na mwenzao mmoja aliyenikinga nisishambuliwe. Kwa kweli ilikuwa hali ya hatari,” alisema.
Wednesday, June 19, 2013
VIDEO: MNYIKA ASEMA NASSARI AMEHAMISHWA HOSPITALI KWASABABU ZA USALAMA.
AKIONGEA NA VYOMBO VYA HABARI LEO JIJINI ARUSHA 19 JUNE 2013, MAHAKAMANI ARUSHA WAKATI HAKISUBIRI WABUNGE WA CHAMA CHAKE
ATAJA MAJINA YA WALE WALIOKUWA WANAMWINDA HUKU WAMEVAA MAVAZI YA WA UGUZI KATIKA HOSPITALI YA SELIANI.
AONYA WENYE NDUGU WAANGA KUWACHUNGA NDUGU ZAO KWASABABU WANAWEZA KUPOTEA HIVI HIVI.
MAZISHI YA MMOJA WA WAHANGA KUFANYIKA ARUSHA KESHO.
WAMERU WACHARUKA! WAMFUHATA MBUNGE WAO NASSARI NA KUSEMA WATAMLINDA WENYEWE
Hawa ni baadhi ya wameru walio handamana kutoka Meru wakielekea Hospitali yaSeliani Jana
Joshua Nassari akiongea na waziri mkuu alipokuja mtembelea Hospitali jana.
wananchi wakiwa kwenye uzio wa hospitali ya Seliani wakiimba na kumdai mbunge wao ili waondoke nae.
-
WAZUNGUKA NA MAJANI MJI MZIMA NA KUZINGIRA HOSPITALI YA SELIAN.
-
WASHANGA KWANINI WALIO HUSIKA HAWAJA KAMATAWA?
-
WAZINGIRA HOSPITALI NA KUONYA KITAKACHO MPATA MBUNGE WAO WENYEWE WATAJIBU.
-
HOFU YATANDA WANAUSALAMA WASHAURI NASSARI AHAMISHIWE.
-
KUNAUVUMI KUWA MABOMBA YA KUPELEKA MAJI MONDULI YAKATWA.
Tuesday, June 18, 2013
Taarifa: Saida Karoli yuko hai. Kweli ajali ya boti imetokea lakini Saida hakuwemo
Mtandao wa Wavuti unaripoti taarifa ya Neville Meena kuwa ingawa ni kweli kuna ajali ya boti iliyotokea, mwanamuziki Saida karoli hakuwa mmoja wa waliokuwemo kwenye boti hiyo na yuko hai!Taarifa hiyo imetoa angalizo kutafuta uhakika kwani inasemekana kuwa Saida Karoli ni mzima, yupo jijini Dar es Salaam: “Nimetafuta namba yake ya simu sijaipata, ila taarifa kutoka Bukoba na ofisi ya Ofisa Utamaduni Muleba zinasema siyo kweli…” ameandika Meena.
Kuhusiana na ajali ya boti, Meena amesema, “…ni kweli kwamba kuna boti imezama katika Ziwa Victoria, na kulikuwa na uvumi mwingi mjini Bukoba na Wilayani Muleba kuhusu mwanamuziki huyo kufariki lakini baadaye ikathibitika kwamba hakuwa mmoja wa abiria.”
Nayo Upland FM radio, Kwa kupitia Facebook page yake, imekanusha taarifa za kufariki Saida karoli na kusema msanii huyo ni mzima wa Afya. “TAARIFA: Kumezuka habari zisizo rasmi juu ya mwanamuziki SAIDA KALORI. Tunaomba kuthibitisha kwa Mwanamuziku huyo ni MZIMA wa afya kabisa. Usidanganywe na uzushi wowote. ASANTE.” imesema taarifa hiyo ya Upland FM
MTUHUMIWA WA BOMU LA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA ATOROSHWA...!!
MTU asiyefahamika aliyerusha bomu kwa mkono katika mkutano wa kampeni za
uchaguzi wa madiwani wa Chadema katika kata ya Soweto mkoani Arusha,
imebainika aliandaliwa mazingira ya kutoroka ili asikamatwe na mkono wa
sheria.
Akitoa kauli ya Serikali bungeni jana kuhusu tukio hilo la kigaidi lililotokea katika mkutano wa siasa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, alisema polisi walizuiwa kumfikia mhalifu.
“Mkutano huu ulikuwa na ulinzi wa Polisi wakiwa na magari mawili na askari walisimama upande wa Kaskazini ya uwanja na mrushaji wa mlipuko huo alikuwa upande wa Mashariki ya uwanja huo na akarusha kuelekea Magharibi.
Akitoa kauli ya Serikali bungeni jana kuhusu tukio hilo la kigaidi lililotokea katika mkutano wa siasa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, alisema polisi walizuiwa kumfikia mhalifu.
“Mkutano huu ulikuwa na ulinzi wa Polisi wakiwa na magari mawili na askari walisimama upande wa Kaskazini ya uwanja na mrushaji wa mlipuko huo alikuwa upande wa Mashariki ya uwanja huo na akarusha kuelekea Magharibi.
SABABU ZA JESHI LA POLISI KUTUMIA NGUVU YA MABOMU JIJINI ARUSHA
Jeshi la polisi limekipiga marufuku chama cha demokrasia na maendelo(CHADEMA)kufanya shughuli zozote za kuaga miili ya marehemu kwenye viwanja vya Soweto kwani zoezi la uchunguzi bado linaendelea kwenye viwanja hivyo .
Akizungumza
ofisini kwake kamanda wa polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas amesema
"CCM WALITAKA KUNIUA KWA MLIPUKO WA BOMU JIJINI ARUSHA".....MBOWE
MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe
amesema tukio la mlipuko wa bomu lililoua watu wawili juzi mkoani
Arusha, lilimlenga yeye na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Arusha jana, Mbowe alisema bomu hilo ambalo liliambatana na milio ya risasi lilikusudiwa wazi kuondoa uhai wake, jambo ambalo ni hatari kwa uhai wa taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Arusha jana, Mbowe alisema bomu hilo ambalo liliambatana na milio ya risasi lilikusudiwa wazi kuondoa uhai wake, jambo ambalo ni hatari kwa uhai wa taifa.
PINDA"bomu lililo lipuka limetengenezwa CHINA na hutumika na wanajeshi kujihami vitani"....!!!!
Monday, June 17, 2013
WABUNGE WA CHADEMA WAGOMA KUINGIA BUNGENI KUFUATIA BOMU LA ARUSHA...IGP ATOA NAMBA YAKE KWA MTU YEYOTE MWENYE TAARIFA

Wakati Jeshi la Polisi nchini limesema limepata taarifa za mwonekano wa mtu aliyetupa bomu katika mkutano wa kampeni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Arusha, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema wabunge wake leo hawataingia bungeni.
Sunday, June 16, 2013
MKASA MZIMA KUHUSU KUPIGWA KWA MBUNGE NASSARI KATIKA KITUO CHA KURA MAKUYUNI

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari ameshambuliwa na vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoa wa Arusha aliyejulikana kwa jina la Kalanga na kulazimika kulazwa katika hopitali ya Selian Mkoani Arusha katika fujo zilizotokea katika kituo cha kupigia kura cha Zaburi, kata ya Makuyuni, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
HII NI RIPOTI YA TUKIO LA MABOMU ARUSHA:PATA KUJUA IDADI KAMILI YA WATU WALIOKUFA KWENYE TUKIO LILOTOKEA JANA JIJINI ARUSHA
WATU wawili ambao ni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , waliofariki jana baada ya kulipukiwa na bomu katika mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Udiwani kata ya Kaloleni,jijini Arusha, mmoja ametambuliwa na mwingine bado hajafahamika.
Mganga,
mfawidhi wa hospital ya mkoa wa Arusha, Dakta Josiah Mlay, amemtaja
marehemu huyo kuwa ni Judith Mushi, (46) mkazi wa Sokon one jijini
Arusha, na mwingine ni kijana wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa
miaka kati ya 15-16 ambae hajafahamika ambae alifia hospital ya AICC.
Saturday, June 15, 2013
"OMMY DIMPOZ ALIKUJA NA NDALA WAKATI ANANIOMBA NIMFUNDISHE KUIMBA, LEO ANAJIONA SUPERSTAR NA KUANZA KUTUKANA WASANII WAKUBWA "....T.I.D
"Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili
kuomba kuimba sasa hivi wanajifanya wao wanazo
hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu
Albert wallahi mungu
atamlaani.........mshenzi mkubwa na nikikuona
nakupiga".
Hicho ndicho alochokiandika TID aka mnyama kwenye kupitia ukurasa wake wa facebook
PICHA ZA SHOW YA LADY JAYDEE NYUMBANI LOUNGE.... WATU WALIJAA MPAKA WAKAANZA KUBEBANA
Mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jaydee usiku wa kuamkia Jumamosi ya
June 15 amefanikiwa kuweka historia kwenye muziki wa Tanzania kwa
kulijaza eneo zima la Nyumbani Lounge alipokuwa akifanya show yake ya
kuadhimisha miaka 13 tangu aanze muziki.
BAADA YA SHOW YA MWANA FA KUKOSA WATU WENGI SUGU AMPOROMOSHEA TUSI KALI...SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA..!!

Baada
ya show ya mwana FA kusambaa kwenye mitandao juu ya kupwaya kwa
washabiki kuhudhuria na show ya mwanadada komando lady jay dee kufurika
....Msanii wa Hiphop Joseph Mbilinyi a..k.a MR II a.k.a SUGU..Amshambulia mwana FA kwenye mtandao wa face book .HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA
Thursday, June 13, 2013
YAFUATAYO NI MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA 2013 NA KAMBI ZA JESHI WALIKOPANGIWA...TAREHE YA KURIPOTI NI TAREHA 24 MWEZI HUU
TANGAZO
MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA VIJANA 10,849 WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:-
TAARIFA KAMILI KUHUSU KIFO CHA LANGA NA RATIBA YA MAZISHI...!!

Wakati ambapo mashabiki wa muziki wa Hip Hop nchini wakianza kusahau majonzi ya kumpoteza Albert Mangweha aka Ngwair mwezi uliopita, leo wametoneshwa tena kwa kifo cha mwana hip hop mwingine, Langa Kileo aka Lyrically And Naturally Gifted African.
Wednesday, June 12, 2013
VANESSA MDEE AWAJIA JUU GAZETI LA BABU KUBWA
Mtangazaji wa Choice Fm, mwanamuziki, balozi wa vijana Tanzania, ameonyesha kukasirishwa na kitendo cha Gazeti la Babukubwa kuweka picha tofauti na walizokubaliana kwenye ukurasa wa mbele ambao ndio ukurasa wa mauzo wa gazeti (front page)
akizungumza na XXL leo vanessa amesema, picha iliyowekwa katika ukurasa
wa mbele, sio picha iliyotakiwa kuwepo hapo, walipiga picha nyingi sana
wakati wa session ya photo shoot, na kukubaliana picha zinazofaa kutoka
lakini matokeo yake wametoa tofauti na makubaliano.
"tulikuwa tumeshachagua picha za front page na zile zitakazotokea ndani,
za front page zilikuwa na version mbili na hakuna hata moja waliyoitoa,
hata ukiangalia the headline, Ommy dimpoz ampata Vanessa,
ukisoma tu unaelewa nini? ingawa story ni tofauti ndani lakini wangapi
wanaliona gazeti na wananua kusoma kilichoandikwa ndani? aliuliza
Vanessa.
it is so disrespectful, wanaharibu reputation, because my brand doesn't
stand for that, wanaweza kukukosesha opportunities in the future.
Sunday, June 9, 2013
Chadema yakubali Serikali tatu
Mwenyekiti wa Chadema, Freema
Mbeya/Dar. Mwenyekiti wa
Chadema, Freeman ameweka bayana kuwa wanaunga mkono Rasimu ya Katiba na
hasa suala la Muungano wa Tanzania kuundwa na Serikali tatu kama
ilivyopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
RAIS KIKWETE AMFARIJI MALKIA WA MIPASHO ( KHADIJA KOPA ) KWA KUFIWA NA MUMEWE

Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM, Hadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita na kuzikwa Bagamoyo.
Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi na (kulia) ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa CCM, Ridhwani Kikwete. |
TAZAMA JINSI WASHINDI WA TUZO HIZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013. WALIVYOJINYAKULIA TUZO HUKU KALA JEREMIAH NA OMMY DIMPOZI WAKIONGOZA
![]() |
MTUNZI BORA WA MASHAHIRI HIP HOP-KALA JEREMIAH |
![]() |
Saturday, June 8, 2013
JOKATE AFUNGUKA KUHUSU ISHU YA DIAMOND KUJUTIA KUACHANA NAE NA KUMRUDIA WEMA SEPETU..!!
HIi karibuni, katika kipindi cha “Take One” cha Clouds TV na Zamaradi Mketema, msanii Diamond Platnumz aliongelea jinsi anavyojutia kumuingiza mrembo Jokate Mwegelo kwenye mapenzi halafu, halafu akachanganya mambo na Wema Sepetu.
"NATAMANI KUOLEWA NA MSANII AY".....SALAMA JABIR

Mtangazaji mahili wa show za TV/Radio aliyeisimamisha wima show mpya na kali inayorushwa kupitia channel 5 ‘Mkasi’ namzungumzia Salama Jabir ametupia ‘neno’ kupitia kipindi hicho kuwa huenda siku moja akaolewa na AY!
Kama uliiangalia show ya Mkasi jumatatu ama marudio yake leo (jumamosi) ambapo crew nzima ya kipindi cha mkasi chini ya C.E.O na Producer wa show Ambwene Yesaya ‘AY’
Friday, June 7, 2013
WASHINDI WA TWEET ILIYOMKUNA REGINALD MENGI AKABIDHIWA KITITA CHA SH. MILIONI MOJA..!!

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja mshindi wa kwanza wa shindano la, "Tweet Wazo Jipya Kuondoa Umaskini", Jilly Gaudence Kyomo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Institute Of Management and Enterprenuership, Dkt. Donath Olomi.
Kulia ni mshindi wa pili, Peter George aliyejinyakulia shilingi laki tano na mwanafunzi wa chuo cha CBE, Ludovick Angelino, ambaye ni mshindi wa tatu aliyejinyakulia shilingi laki tatu
Thursday, June 6, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)