Mastaa wa kumwaga walikua miongoni mwa wageni takriban 100 walioalikwa kwenye birtday party ya Vanessa Mdee. Pamoja na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Vanessa pia aliitumia fursa hiyo kujipongeza kwa kutajwa kuwania Kili Awards mwaka 2013, zinazofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Baadhi ya wasanii na watu mashuhuri walioalikwa kwenye party hiyo ni Izzo B, Weusi, Mwana FA, AY, Shaa, Master Jay, Salama Jabir, Marco Chali, Quick Rocka, Lina, Ommy Dimpoz, producer Master J. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Linah, Izzo B, Shaa, Ommy Dimpoz, G-Nako, The Trio na birthday girl mwenyewe Vanessa.
No comments:
Post a Comment