expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>
PINDA"bomu lililo lipuka limetengenezwa CHINA na hutumika na wanajeshi kujihami vitani"....!!!!
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda amesema bomu lililolipuliwa katika mkutano wa
Chadema ni la kijeshi na limetengenezwa China. Akizungumza mjini hapa
jana, Pinda alisema uchunguzi unaendelea kujua bomu hilo limefikaje
kwenye mikono ya waliohusika kwani uzoefu unaonyesha kuwa hutumiwa na
wanajeshi kujihami wakiwa katika VITA.
No comments:
Post a Comment