expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>
sikiliza wimbo mpya wa Iyanya ft Diamond: Nakupenda
Wimbo wa Iyanya aliomshirikisha diamond "Nakupenda (I Love You)"" ambao umevuja katika mitandai, wengi wakidhani ni wa diamond na Psquare umeachiwa rasmi leo hii na Iyanya
Iyanya na Diamond waliingia studio ku-record wimbo huo kwa mara yakwanza baada ya kudondoka bongo kwa ajili ya Fiesta, lakini baadae kazi hiyo walienda kuimalizia nchini Nigeria, Diamond alipoenda huko kwa ajili ya projectya One Capmpaign.
No comments:
Post a Comment