Baloteli akishangilia goli alilofunga dhidi ya Japan.
Kwa wasiomfahamu wanaweza kudhani kuwa mwanamitindo huyo ni raia wa Italia kwa uzalendo aliouonyesha akiwa uwanjani lakini yeye ni raia wa Ubelgiji, uwepo wa Fanny uwanjani unaonekana kumsaidia Super Mario ambaye alifunga moja ya mabao yaliyoisaidia Italia kushinda 4-3.
Hivi karibuni Mario alimvika mpenzi wake Fanny pete ya uchumba yenye thamani ya paundi laki moja baada ya tetesi kuwa zimesikika juu ya wawili hao kuachana.
No comments:
Post a Comment