Friday, May 31, 2013
Thursday, May 30, 2013
"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK
Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongw hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Fuck Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.

HII NDIO TWEET YA KIMAPENZI KATI YA MREMBO K'LYNE NA MHESHIMIWA REGINALD MENGI....ADAI KUWA NDIYE BABA WA MAPACHA WAKE WAWILI...!!
wabunge nusura kuzichapa leo mjengoni
Za moto moto leo kutoka kwenye tunaloliita Bunge La Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, sintofahamu imetokea ndani ya bunge baina ya wabunge wa Cuf na Chadema, hali iliyopeleka wabunge wa vyama hivyo kutaka kupigana ndani ya Bunge.
hivi ndivyo hali ilivyokuwa....
Wednesday, May 29, 2013
angalia TWEETS za watu maarufu zinazo muhusu MANGWEA
LIVE kutoka LIDARZ CLUB kwenye kikao cha wasanii kuhusu mazishi ya mpendwa wao ALBERT MANGWEAR:bit.ly/17sIWJd
— DJCHOKA (@ChokaDJ) May 29, 2013
Oh God! Rest Alz soul in eternal peace,we loved him but u love him more.kazi ya mola daima haina makosa twitter.com/wema_sepetu/st…
— Wema Sepetu (@wema_sepetu) May 28, 2013
TAARIFA ZA KIFO CHA M 2 THE P SIYO ZA KWELI | This is Diamond fb.me/1zgsbimki
— Diamond Platnumz (@diamondplatnumz) May 29, 2013
PICHA ZA BAADHI YA WASANII WALIOHUDHULIA KIKAO CHA MSIBA WA MSANII “ALBERT MANGWEA” PALE LEADERS CLUB.
Kala Jeremiah amemwelezea Ngwea kama msanii wa pekee alikuwa 100% mkali wa Free Style na alimpenda kwa nyimbo kali kama Ghetto langu iliyom inspire kuingia kwenye Game.
Tuesday, May 28, 2013
TAARIFA YA MSANII BUSHOKE ALIYEKO SOUTH AFRICA KWA SASA KUHUSU KIFO CHA ALBERT MANGWEA..!!
MSANII maarufu wa nyimbo za 'hip hop' na Bongo Fleva, Albert Mangwea maarufu kama Man Ngwair aka Ngwair ametangazwa kuwa amefariki dunia leo akiwa nchini Afrika Kusini katika hospitali ya St. Hellen ya jijini Johanesburg.
Kwa mujibu wa taarifa za redio mbalimbali jioni hii nchini, inadhaniwa huenda Ngwair amefariki dunia kutokana na matatizo ya matumizi ya dawa za kulevya.
Aidha, taarifa kutoka kwa mmoja wa mtu wa karibu wa Ngwair nchini humo, Hussein Original aliyepo mji wa Pretoria, alisema alikutwa amefariki wakati msanii mwenzake ‘M To The P’ alikutwa amepoteza fahamu majira ya asubuhi walipokwenda kuwagongea mlango gheto kwao.
Kwa mujibu wa taarifa za redio mbalimbali jioni hii nchini, inadhaniwa huenda Ngwair amefariki dunia kutokana na matatizo ya matumizi ya dawa za kulevya.
Aidha, taarifa kutoka kwa mmoja wa mtu wa karibu wa Ngwair nchini humo, Hussein Original aliyepo mji wa Pretoria, alisema alikutwa amefariki wakati msanii mwenzake ‘M To The P’ alikutwa amepoteza fahamu majira ya asubuhi walipokwenda kuwagongea mlango gheto kwao.
Daktari tayari alishathibitisha taarifa hizo na tayari ametoa taarifa kwa watu wa karibu wa msanii huyo.
Akiongea na redio ya Clouds FM, mwenyeji mwingine wa Afrika Kusini aliyejitambulisha kwa jina la Jonathan amesema usiku wa kuamkia leo
Akiongea na redio ya Clouds FM, mwenyeji mwingine wa Afrika Kusini aliyejitambulisha kwa jina la Jonathan amesema usiku wa kuamkia leo
Monday, May 27, 2013
GOOD NEWzzz: HII NI NEEMA KWA WALIOFELI KIDATO CHA NNE....UFAULU WAONGEZEKA, MATOKEO NI MUDA WOWOTE
Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), kufanya marekebisho alama za viwango vya ufaulu, Mwananchi limebaini.
Sunday, May 26, 2013
UPDATE: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KUTANGAZWA UPYA LEO JUMATATU TAREHE 27/5/2013

TOA MAONI YAKO HAPA:
onja kidogo muomekano wa jumba la BIG BROTHER AFRICA-THE CHASE
amebaki masaa kiduchu kabla Afrika haijawaona Live washiriki wa Big Brother Africa 2013 ambayo imepewa jinaThe Chase. Lakini wakati kila mtu akisubiri kwa shauku kujua ni kina nani watakuwa ndani ya Jumba kuwania donge nono la Dola Laki Tatu ($300,000), hizi hapa ni picha ambazo zinakuonjesha japo kidoogo jinsi ambavyo jumba la Big Brother Africa lilivyo.
Inaaminika kwamba jumba lina camera 56 na vinasa sauti 137 kitu ambacho kinamuwezesha Biggie kuwaona washiriki 24/7.
Big Brother Africa 2013 inaletwa kwa udhamini wa Airtel na kuandaliwa na Endemol. Shindano litakuwa linaonekana masaa 24 kupitia DStv kwenye channels 197 na 198.
Thursday, May 23, 2013
JINA LA SUGU LAPIGWA 'STOP' KUTUMIKA BUNGENI....!
KATIKA hali iliyoonesha sintofahamu, jina la utani la Mbunge wa Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chadema, Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’ lilionekana kumtatiza Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Anne Semamba Makinda.
Tuesday, May 21, 2013
PROFESSA JAY AJIUNGA CHADEMA, CHEKI PICHA WAKATI AKIPOKEA KADI YA CHADEMA KUTOKA KWA SUGU

Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Profesa amekabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kujiunga rasmi kwa Profesa kwenye chama hicho kunaashiria kuwa huenda akawa na nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2015

Monday, May 20, 2013
PROFESA J NA SAKATA LA JAY D


Profesa Jay: Kwanza nianze kusema kuwa mimi sina upande wowote ambao ninaweza kuusimamia, sipo kwa Ruge wala kwa Jide.
Funguka: Kumekuwa na minong’ono mitaani kuwa upo upande wa Jide kwani mmekuwa mkifanya kazi pamoja vilevile ni marafiki kwa muda mrefu na ndiyo maana amekushirikisha kwenye wimbo wake wa Joto Hasira. Unalizungumziaje hili?
Profesa Jay: Ishu siyo mimi kuwa upande wa Jide au wa Ruge, kitu ambacho ninaweza kukizungumzia ni kwamba Jide alinishirikisha kwenye wimbo huo hata kabla ya hilo bifu lao sijalifahamu. Mimi niliimba kutokana na maudhui ya wimbo ulivyokuwa ukitaka. Kwa hiyo bado nasisitiza kuwa sifungamani na upande wowote katika jambo hili.
Funguka: Kama ni hivyo, unachukuliaje suala la Jide na Ruge kufikia hatua ya kuburuzana mahakamani?
Profesa Jay: Kuhusu hilo, sitakuwa msemaji sana ila kwa jinsi ninavyofahamu, Jide ni msanii mkongwe. Kama unakumbuka nilishawahi kufanya naye traki kadhaa kama Bongo Dar-es-salaam na Niamini. Kikubwa ni kwamba Jide anajiheshimu sana na nadhani kila anachokifanya anakijua vizuri.
Funguka: Unamuongeleaje Ruge na uongozi mzima wa Clouds kuhusu sakata hili?
Profesa Jay: Binafsi siwezi kuwaongelea Clouds au Ruge kwa jambo lolote, kwa sababu ninaamini na wao ni watu wazima na wanafahamu nini wanachokifanya.
Funguka: Hivi karibuni tumesikia wasanii kadhaa wamejitoa kwenye orodha ya wasanii watakaomsapoti Jide kwenye shoo yake ya Mei 31, vipi wewe utakamua kama kawaida?
Profesa Jay: Nikutoe wasiwasi, mimi binafsi nitakuwepo kwenye shoo ya Jide na nitapiga mzigo wa kufa mtu kumsapoti kwa akili yangu yote, nguvu zangu zote na moyo wangu wote.
Funguka: Poa, nashukuru kwa ushirikiano wako, kazi njema.
Profesa Jay: Haina kwere.
Chanzo GPL
MADAM RITA WA BONGO STAR SEARCH ANATIA HURUMA KUTOKANA NA HALI ALIYONAYO

Kilichompata Madam Rita kinasikitisha! Ndivyo unavyoweza kusema ukibahatika
PICHA ZA DIAMOND NA NEY WA MITEGO WAKIPAGAWISHA MASHABIKI KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA MUZIKI GANI
Diamond Platnumz akiwapa hi mashabiki.
Ney wa Mitego akiwarusha wapenzi wa burudani.
Friday, May 17, 2013
MAGUFULI AGEUKA JOTI BUNGENI, HIVI NI BAADHI YA VICHEKESHO ALIVYOTOA BUNGENI. SOMA HAPA
Waziri wa ujenzi Dk John Pombe Magufuli
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli ndiye waziri namba moja hadi sasa kwa kulivunja mbavu Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma kutokana na vichekesho vyake wakati alipokuwa akijibu hoja za wabunge mbalimbali hivi karibuni.NDOA YA PREZOO NA DIVA YATARAJIWA KUFANYIKA HIVI KARIBUNI
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Redio, Loveness Malinzi ‘Diva’ ameifungukia ndoa yake na staa wa muziki wa Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’ kuwa haiko mbali kwani hatua waliyofikia ni nzuri.
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni Diva alisema uhusiano wake na jamaa huyo hakuna wa kuutibua na anamshangaa msichana anayejitambulisha kwa jina la Boss lady anayedai ameingiliwa.
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni Diva alisema uhusiano wake na jamaa huyo hakuna wa kuutibua na anamshangaa msichana anayejitambulisha kwa jina la Boss lady anayedai ameingiliwa.
Thursday, May 16, 2013
WARAKA WA ANTI VIRUS UNAOWAHUSU RUGE NA KUSAGA

WARAKA NAMBA 1(ZIPO 88) KILA WIKI UTAPATA WARAKA MMOJA
Ni wazi na dhahiri kabisa kesi iliofunguliwa mahakamani dhidi ya Lady JayDee haina maana yoyote isipokuwa ni hofu ya mafisadi wa muziki nchini (Kusaga na Ruge) kwa kuwa waraka wa pili ulikuwa utoke tar 15 may na mwingine tar 17 may mwaka huu wa 2013.
MABINGWA WA EUROPA LEAGUE
Siku ya jana usiku chelsea walijikuta mabingwa wa europa league baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Benfica.
Torres ndiye aliyeanza kufungua nyavu za Benfica, mdaa mfupi baadae Benfica walijipatia goal la kusawadhisha kutoka kwa O. Cardozo (PG) dakika ya 68′.

Chelsea walijipatia goal la ushindi kwenye dakika za nyongeza kupita kwa Ivanovic.
Chelsea walijipatia goal la ushindi kwenye dakika za nyongeza kupita kwa Ivanovic.
Ushidni huo umempa furaha kubwa John Terry hadi kupelekea kuongeza mdaa wa kuendelea kuichezea Chelsea.
Tuesday, May 14, 2013
LADY JAY DEE AFIKIRIA KUHAMIA KENYA AU MALAWI
Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kuihama nchi yake na kuelekea nchi jirani ya KENYA ...
Lady Jaydee anafikiria kwenda kuomba uraia KENYA ama MALAWI kwa kile kinachoonekana kuwa ni kutaka kujinasua katika migogoro inayomkabili ambayo tayari iko mahakamani...
Lady Jaydee anafikiria kwenda kuomba uraia KENYA ama MALAWI kwa kile kinachoonekana kuwa ni kutaka kujinasua katika migogoro inayomkabili ambayo tayari iko mahakamani...
mwanamuziki huyo ametwee hivi

Monday, May 13, 2013
HEMED PHD ANUSURIKA KUPEWA KICHAPO NA MREMBO ALIYEMTOMASA NA KUMPULIZIA PERFUME KINYEMELA...!!
Hemed alikosea kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe unyunyu...Alimfuata na "tomasa toma style" alafu akamtandika unyunyu na hiyo ikawa ndiyo mistake kwa mkali huyo wa music na bongo movie... kumbe bi dada alimaindi...!!!
Alisubiri mpaka hemed alipomaliza kufanya yake on stage , then akamfuata backstage na kutaka kumnasa makofi huku akitema cheche.
PICHA YA MTUHUMIWA NAMBA MOJA WA MLIPUKO WA BOMU LA KANISANI JIJINI ARUSHA.....HUYU HAPA!!
Mtuhumiwa Bomu Kanisani, Asomewa mashtaka 21
Mtuhumiwa Bomu Kanisani Arusha, Victor Ambrose Calist (20).Joseph Pantaleo, Arusha Tanzania
Arusha kumekucha, mtuhumiwa mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka 21 ya mauaji na kujaribu kuua.
UPDATE: MAHAKAMA YAMPIGA 'STOP' JAYDEE KUIKASHIFU CLOUDS FM,ANGALIA NA PICHA ZAKE HAPA
Saturday, May 11, 2013
GAZETI LA MTANZANIA:POMBE YA KIROBA KUPIGWA MARUFUKU
PREZO NA DIVA LOVENESS LOVE WAPO KWENYE MAPENZI MOTOMOTO
muhariri alipojaribu kucheki na diva mwanadada akapangua shuti kuleeeee,na kudai kuwa yuko na boyfriend wake wa KITANZANIA na prezoo ni MSHKAJI tu.Alipovutiwa wire PREZZOOO jamaa akaja mzima mzimaaaaa na kutiririka ya moyoni kuwa ni kweli kuwa anampenda DIVA na mipango mingine inafuata.sikiliza hapa kwenye YOU HEARD
.
Wednesday, May 8, 2013
Tuesday, May 7, 2013
Wasaudia wanne mbaroni, FBI watua Arusha
Dodoma/Arusha. Wakati maofisa wa Shirika la Upelelezi wa Marekani (FBI) wametua Arusha, raia wanne wa Saudi Arabia na Watanzania wawili wamekamatwa kwa tuhuma za kuhusika kulipua bomu lililoua watu wawili na kujeruhi wengine 61 wakati wa ufunguzi wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Olasiti.
Waliofariki dunia niMonday, May 6, 2013
CLOUDS WAMJIBU LADY JAYDEE….WAMEDAI KUWA AACHE KUTAPATAPA NA BADALA YAKE AKAZE BUTI
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hatimaye mmoja wa wakurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ameamua kujibu shutuma za Lady Jaydee dhidi yake. Ruge amekitumia kipindi cha Power Break Fast cha Clouds FM, kujibu rasmi shutuma hizo.
Amesema anasikitishwa na jinsi Jaydee anavyoendesha harakati zake na kudai kuwa anapigana kwenye vita isiyo sahihi.
Saturday, May 4, 2013
WOSIA WA LADY JAY DEE KAMA IKITOKEA AMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.
Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo
Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.
Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo
Subscribe to:
Posts (Atom)