expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Saturday, May 11, 2013

PREZO NA DIVA LOVENESS LOVE WAPO KWENYE MAPENZI MOTOMOTO



Taarifa za siri ambazo zimefika mezani kwa muhariri zina nong'oneza kwamba Rapper tajiri nchini Kenya kwa sasa hivi yuko katika mahaba mazito na Mtangazaji wa kituo cha radio kikubwa nchini Tanzania, namzungumzia Diva Loveness Love wa Ala za Roho, inasemekana mahusiano yao yalianza wiki za karibuni baada ya Prezoo kudondoka bongo na alialikwa kwenye kipindi cha Ala za roho ndipo picha zima lilipo anzia, kama utani wakaanza kutania taniana, sasa usiku wa tukio hawakufanikiwa kwenda out lakini namba zilibadilishwa pale, kilichofata baada ya hapo sasa Prezzo akataka kwenda mpaka kwa kina binti lakini akazuiliwa wataalamu wa mambo wanasema penye nia pana njia, basi huenda time navyozungumza japo Prezzo hayuko bongo narudia tena…huenda mambo yao yako bam bam kwa nija ya simu.
     muhariri alipojaribu kucheki na diva mwanadada akapangua shuti kuleeeee,na kudai kuwa yuko na boyfriend wake wa KITANZANIA na prezoo  ni MSHKAJI tu.Alipovutiwa wire PREZZOOO jamaa akaja mzima mzimaaaaa na kutiririka ya moyoni kuwa ni kweli kuwa anampenda DIVA na mipango mingine inafuata.sikiliza hapa kwenye YOU HEARD


.

No comments:

Post a Comment