Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya mastaa wa Kibongo kuonesha au kupiga picha anaponunua gari jipya huku suala la kuonesha kadi ya gari likiwa gumu na ahadi zisizokwisha lakini mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika historia ya tofauti.
KADI YA GARI
Ijumaa limenasa kadi ya gari jipya la Lulu aina ya Toyota Rav4 New Model lenye rangi ya silva hivyo kuthibitisha kuwa yeye si kama wale wanaohongwa magari bila kupewa kadi.
Habari zilidai kwamba Lulu ameamua kufanya hivyo ili kuwaziba midomo baadhi ya mastaa waliozoea