
Hivi karibuni Justin amekuwa akihusishwa na majanga tofauti yanayopelekea kukamatwa na polisi mpaka raia wa Marekani kupendekeza arudishwe kwao Canada. Jipya kuhusu Bieber ni kwamba msanii huyu amenunua jumba lenye mambo ya kifahari kama club night club na bar 3.
Nyumba ina vyumba vya kulala 10,s ehemu ya mazoezi [gym], bwawa la kuogelea na jumba la filamu. Hizi ni picha zilizopatikana za nyumba hio.
No comments:
Post a Comment