Tunajua wote ni wala bata.Davido na Peter wote wanamiliki magari mazuri na ya kifahari kwenye parking zao.
PETER OKOYE
Peter ni mwanamziki maarufu sana. Ni mmoja wa P-square anayependa vitu classic. anapenda kununua magari ya gharama, mazuri na ya kifahari sana. pia hupenda kutupia picha za magari yake ya kifahari kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, magari anayomiliki ni kama Bentley GT ya 2014, Wrangler Jeep ya 2014, BMW X6 na mengine mazuri yaliyoko kwenye Garage yake.
DAVIDO
Davido mwanamuziki wa ki NIgeria anapenda vitu vizuri vizuri na vya kupendeza kuanzia kwenye mavazi na hata vitu vya thamani kama cheni na magari ya gharama na ya kifahari. hupenda kutupia mkusanyiko wake wa magari ya kifahari kwenye mitandao ya kijamii. Davido anamiliki magari kama Mercedes-Benz G55 AMG, black Range Rover and Mercedes G-Wagon na mengine mengi. Davido amekuwa mwanamuziki mchapakazi sana na anayeoenda kula bata pia hupenda vitu vizuri kuliko vyote.

No comments:
Post a Comment