expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Wednesday, July 31, 2013

NANDO AMESEMA HANA MAJUTO YOYOTE BAADA YA KUONDOLEWA BIG BROTHER AFRIKA...!!

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Ammy Nando amesema hana majuto yoyote aliyonayo baada ya kuondolewa kwenye shindano hilo.
Nando akiwa na Dj Fetty wa Clouds FM

Nando ambaye aliondolewa wiki iliyopita kwa kuvunja miongoni mwa sheria za shindano hilo alikuwa akiongea leo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.

“I live my life with no regrets,”alisema Nando.

“Sitaki sijui matatizo wala nini, kilichotokea ndio kimetokea, najipanga upya naendelea na maisha mengine. Vingapi vimetokea vingine vizuri nyuma mpaka unapoenda vinakuja vizuri na vizuri kila siku? Tokea nilipotokea mimi nilipokuwa mtoto mdogo nani alikuwa ananijua? Sasa hivi nipo peace yaani, nashukuru kwamba mmenipokea vizuri. Naendelea na maisha, uzuri nimepata platform ya kutengezeza jina langu, kwahiyo naenda hivyo hivyo mpaka huko ntakapofika.”

Sunday, July 28, 2013

NANI ZAIDI KATI YA IRENE UWOYA NA BATULI

                                            kushoto ni Batuli na kulia ni Irene Uwoya 

 
Hii ni picha ya hivi karibuni ambayo imetoka ikiwaonyesha waigizaji maarufu wa Swahili movies Yobnesh Yusuph(Batuli) na Irene Uwoya. Hapo ilikuwa katika set ya filamu mpya inayokuja inaitwa Bad Luck Batuli akiwa mmoja wa waigizaji wakuu, Uwoya hayupo kwenye hiyo filamu ila alipita tu kuangalia wenzake wanafanya nini.  Hawa waigizaji wote wawili ni maarufu, wazuri na warembo, pia wote wameigiza kwenye filamu nyingi na mastaa mbalimbali, kwa mara ya kwanza Irene Uwoya alijipatia umaarufu baada ya kuigiza katika filamu ya Oprah akiwa na Ray na marehemu Kanumba wakati Batuli alijipatia Umaarufu baada ya kuigiza filamu ya Fake Smile akiwa na marehemu Steven Kanumba. Batuli ni mama wa watoto wawili mmoja ana miaka 9 na mwingine miaka 5 wakati Irene Uwoya ni mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 2. Ukiachana na hayo yote nani unahisi ni mkali katika urembo, suala zima la fashions na kuigiza kwa ujumla bila kujali umaarufu wao au wingi wa filamu walizoigiza?

HATIMAYE MBOWE AWASILISHA USHAHIDI POLISI KUHUSU MLIPUAJI WA BOMU ARUSHA

HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, jana amewasilisha kwa maandishi ushahidi wake makao makuu ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam. Maelezo ya Mbowe ambayo jana yaliwasilishwa, yamekuwa siri nzito, kwani yanatokana na msimamo wa CHADEMA kudai wana ushahidi na tukio la mauaji ya mlipuko wa bomu lililotokea Juni 15, mwaka huu mkoani Arusha. 

Monday, July 22, 2013

BOMU JINGINE LALIPUKA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA.....POLISI WAKIRI KUHUSIKA NA MLIPUKO HUO..!!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyvLczoKQoBPITTv5f5FZXSl2tNhcPwuwOhdvpXhmOSv-iHSJG2XVZIF-ziimvm9qLmTbvEHZJ2MgPyWjWlcxkYoutatn4viB4sagLzAiMKLgj-JXhchCkuPe-iI6fPFyjeVexFxbi8wOT/s640/2+%287%29.JPG
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, ambao aliutishia kwa lengo la kuwaelezea wananchi mrejesho wa yaliyojiri bungeni hivi karibuni na kuhamasisha wananchi kushiriki kutoa maoni kwenye rasimu ya Katiba mpya.

Sunday, July 21, 2013

TENDWA AUMBUKA,NYARAKA ZAONYESHA KUWA ALIIBARIKI 'RED BRIGADE' YA CHADEMA...!!

 
Nakala za majibu ya Ofisi ya Tendwa kwa CHADEMA zilipelekwa kwa 

  • Waziri wa Mambo ya Ndani wakati huo, Omar Mapuri, 
  • Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, aliyekuwa anashughulikia Habari na Siasa, Muhammed Seif Khatib; 
  • Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu; 
  • Inspekta Jenerali wa Polisi na 
  • Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai

Sunday, July 14, 2013

Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Mbowe
KUNDI la polisi wenye silaha za moto jana usiku walivamia nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, kwa nia ya kumkamata.

Chadema kimeibuka na ushindi Arusha

Chadema_logo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeibuka na ushindi  katika uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata nne za jijini Arusha.

JWTZ yakiri kuuawa kwa wanajeshi

Jakaya_Kikwete
                                                                                                                                                                                                                                                                                                                       




















na Edna Bondo na Shabani Matutu
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekiri kuuawa kwa wanajeshi wake saba na wengine 14 kujeruhiwa akiwamo askari polisi katika shambulio la ghafla lililofanyika Darfur juzi.

Sunday, July 7, 2013

"NI KWELI KWAMBA NAVUTA SANA BANGI".....T.I.D

Mtangazaji wa kipindi cha The Sporah Show, Sporah Njau hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu alipofanya interview na muimbaji mahiri nchini, Khalid Mohamed aka TID kwenye show hiyo kutokana na maswali yake yaliyogusa mambo ya ndani ya mkali huyo.

  
Sporah alimuuliza maswali yaliyogusa masuala mazito katika maisha ya msanii huyo ikiwa ni pamoja na shutuma kuwa anatumia madawa ya kulevya, tabia yake inayotafsiriwa kama ya dharau, kuwa na hasira, kupungua kwa afya yake na suala la kifo cha aliyekuwa rafiki yake, Albert Mangweha. 

LOWASSA APONGEZWA NA BAKWATA KWA KUVISHWA JOHO MAALUMU.....MILIONI 590 ZACHANGISHWA KATIKA HARAMBEE


Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akipongezwa na kiongozi wa Sunni al Jamaa Afrika Mashariki, Shariff Hussein al Badawi kwa kumvika joho la kilemba  baada ya kufanikisha harambee kwa ajili ya Kituo cha Redio Ikra kinachomilikiwa na Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Mwanza. 

Tuesday, July 2, 2013

hatimaye Malia Obama aanza kunikubali awe Demu wangu,Anahitaji nimchagulia nyimbo nzuri ya kibongo

 Hbr wana kufuatia baadhi ya ushauri ambao mlinipa mtoto Malia Obama ashaanza kuja kwenye lane
Nimechat nae FB nikamueleza yale ya moyoni tayari lakini bado haja tick (hajakubali) kkatika maongezi maongezi akaniambia nimchagulie nyimbo nzuri........ambayo ala zake na maneno yake yataingia hadi moyoni ili aweze kunifikiria huba la penzi langu kwake,kanipa masharti lakini iwe nyimbo ya kibongo(yaani bongo flavor)
Nikifanikisha kum dedicate nyimbo itakayomuingia rohoni ameniahidi atakuja kunitembelea kwetu kwa mtogore_tandale na baba yake ,na mimi nimemuahidi kumchinjia kuku mkwe wngu pindi akitua kwa mtogore
Nitawapa updates zaidi...
Mimi Muota Ndoto za Mchana