HUU NDIO UMATI WA WAKAZI WA MOROGORO WALIOJITOKEZA KUUAGA MWILI WA NGWEA....UWANJA WA JAMHURI WAFURIKA..!!
Hii ni kwenye mlango wa kuingia uwanja wa Jamuhuri kuuaga mwili wa Marehemu Ngwea Morogoro . Foleni ya kwenda kumuaga marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa Jamuhuri Morogoro
No comments:
Post a Comment