expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Thursday, April 14, 2011

lyrics-king zila

INTRO
nigger dont be mad man, its classic
VERSE 1
success zimekuja kwa potential , mi ni boss still naishi
ghetto
am soo hood, bado na sell kush ,mi ni hustler man, kila
ride mi leo napush
nabadilika  sana cause am the best, walifikiri nimekufa
baada ya accident
kila ninachopata weka kwenye memory, baada ya miaka
10 i can write history
niko deep sana kwenye mentally, wanaombea hata nipate
supplimentary
now take a glass make a toss, (now whip ur hair back and
forth  2)
man macochali, mama zilla i appreciate, mmeniambia no
tungi no ciggaret
get off ma way nasikiliza kwenye ride, natoka zangu town
naelekea west side
CHORUS
jinsi nilivyo watu wanakaa, king zilla zilla ni balaa
every body knows zilla ni balaa, kwenye game ye ni big
change  2
VERSE 2
baada ya kudondosha swaga now the game is mine,
wanashangaa kuona kwamba life is on the line
nadondosha style kama buster flip mode, kila baada ya
dakika 3 new dresscode
nacheka kwa dharau life is simple, napiga deal na wachina
portorico
nachange gear morogoro 1 hr, kwasababu right now
nigger i got power
collable za kutosha napiga nonstop, see a made it man
now am on top
flow ziko deep kutoka kwenye blood, na huwezi kunizuia
its really really hard
nigger i keep it gangstar hard to the core, ur brains nablow
with ma fow fow
flow ziki tight zina sound nicely, ladies wanasema zilla we
love ur voice
BRIDGE
mi ni gangster ninja, i told ya, am general salutly soldier 4

No comments:

Post a Comment