expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Monday, September 28, 2015

@AyoTV: Maneno ya Irene Uwoya kwa Wasanii walioshindwa Ubunge 2015.

Irene 
Irene Uwoya ni mwigizaji kutoka bongomovie Tanzania na amekua miongoni mwa Wanawake watano wanaotajwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza Tanzania, mwaka huu 2015 ameingia kwa mara ya kwanza kwenye siasa na kupita kwenye Ubunge wa viti maalum, bonyeza play umtazame kwenye hii video hapa chini.

Sunday, September 27, 2015

Wachina safari hii wana hili Daraja lililotengenezwa kwa kioo juu ya Milima ..!! angalia picha hapa

Kutokana na ukuaji wa Teknolojia pamoja na kasi kubwa iliyopo Duniani kwenye soko la Ushindani na Ubunifu, kila siku tunaona ubunifu mkubwa sana ukigusa headlines za habari kubwa Duniani !!