expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Thursday, September 4, 2014

Msanii mwenye umri chini ya miaka 15 awadiss Nay wa Mitego, Young Killer, Mo Music, Balba Levo, Kala Pina, Weusi, dogo janjaro na wengineo

Rapper mdogo kuliko wote Tanzania "Dogo D" mwenye umeri chini ya miaka 15 kutoka Mwanza ameachia wimbo unaowadiss wasanii kibao wakubwa wasanii wa mwanza Mo Music na Yong Killer lakini pia hakuwaacha wasanii wengine kama Nay wa Mitego, Dogo Janja, Pnc na wengineo
Ngoma hiyo aliyoipa jina la "Wamenichokoza" akiwa amemshirikisha King Silver amemdiss Mo Music na Nay wa Mitego kwa kusema