expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Tuesday, August 13, 2013

DIVA: "MTU AKISEMA MIMI NI RAFIKI YAKE ANAJIDANGANYA, MIE HUWA NACHORA TU WATU" Read more:


Maneno ya Diva aliyoandika haya hapa:

CHIDI BENZ ASIMULIA JINSI ALIVYOTHIRIWA NA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA....ANASEMA HAWEZI KUMALIZA DK 2O BILA KUVUTA

Rapper Chidi Benz leo kwa mdomo wake mwenyewe amekiri kuwa alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa miaka mingi. Chidi amefunguka leo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.


 Alisema japo hakwenda Nairobi kwaajili ya rehab, mazingira yalimlazimu kutafuta tiba ili aondokane na madhara ya madawa hayo. Alieleza kuwa alipofika jijini Nairobi alikuwa akitakiwa kufanya show nyingi na mwandaaji alimuuliza kama kuna kitu atahitaji ili awezE kufanya show vizuri.

MAAJABU....MAITI AAMKA NA KUCHUKUA CHUPA YA MAJI YA KUNYWA KWENYE MSIBA WAKE MWENYEWE...!!


Wapita Njia walipata hali ya  kutishwa wakati mtu huyo, ambaye alisemekana kuwa maiti, ghafla aliamka na kumpora mmoja wa waombolezaji chupa ya maji na kuanza kunywa.

Friday, August 9, 2013

PHOTOS: Diamond na warembo wakati akifanya tangazo Cocacola.





D1



D2

HII NDIO KAZI ALIYOKUWA ANAFANYA MSANII LINEX SUNDAY MJEDA KABLA HAJAWA STAR...


Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo, Linex Sunday Mjeda ameweka wazi kuwa, kabla ya kuwa staa wa muziki aliwahi kufanya kazi kama ripota wa redio,kitu ambacho watu wengi walikuwa hawakifahamu.

Linex amesema kuwa aliwahi kufanya kazi hii kwa muda kidogo akiwa huko Iringa katika kituo kimoja maarufu cha redio, na amekanusha kuwa aliwahi kuchangayikiwa na kupoteza kazi hiyo kutokana na kuvuta Bangi.

Msanii huyu amesema yupo vizuri sana na ataendelea kuwapatia watu vile vitu wanavyovipenda kupitia kipaji chake kikubwa cha kuimba.

PICHA ZIKIONYESHA WAZUNGU BAADA YA KUMWAGIWA TINDIKALI HUKO ZANZIBAR,INAHUZUNISHA KWAKWELI.


Waingereza hao wawili waliomwagiwa tindikali wameungana na familia zao. Walipotua tu Uingereza walikimbizwa hospitali