Angalia msimu mpya wa unisplash. ni kipindi kinachorushwa kutoka chuo cha uhasibu Arusha kikielezea maisha ya wanafunzu wa chuo cha uhasibu Arusha na matukio mbalimbali yanayotokea katika chuo cha uhasibu Arusha.
leo wanazungumzia kuhusu tukio la MR & MRS IAA.
Bonyeza video hii kuangalia show ya kijanja bila kusahau ku LIKE na ku SUBSCRIBE
Teenz mix-Tz
Thursday, November 24, 2016
Friday, August 19, 2016
Monday, September 28, 2015
@AyoTV: Maneno ya Irene Uwoya kwa Wasanii walioshindwa Ubunge 2015.
Sunday, September 27, 2015
Wachina safari hii wana hili Daraja lililotengenezwa kwa kioo juu ya Milima ..!! angalia picha hapa
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia pamoja
na kasi kubwa iliyopo Duniani kwenye soko la Ushindani na Ubunifu, kila
siku tunaona ubunifu mkubwa sana ukigusa headlines za habari kubwa
Duniani !!
Thursday, July 30, 2015
Vituko vya Maradona haviishi!! safari hii kamtuhumu mke wake kumwibia fedha
Mkongwe wa soka duniani Diego Maradona amerudi kwenye headlines tena baada ya kumtuhumu mke wake wa zamani Claudia Villafane kuwa amemuibia fedha kwenye akaunti yake.
Friday, February 27, 2015
Chidi Benz aachiwa huru baada ya kulipa faini ya shilingi laki 9
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemwachia huru mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 au kwenda jela miaka miwili kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya, ambapo amefanikiwaa kulipa pesa hizo na kuachiwa huru.
Chid Benz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na madawa ya kulevya, ikiwemo misokoto ya bangi.
Tuesday, February 24, 2015
Nuh Mziwanda na Shilole wana #Breaktheinternet na hii picha,Vifua wazi
Kupitia Account yake ya Instagram Nuh Mziwanda amepost
picha hiyo akiwa na mpenzi wake Shilole "Shishi Baby"
wakiwa bafuni huku Shilole akionekana amekenua
"Kufurahi".
Picha hii imeleta mtazamo tofauti kwa baadhi ya mashabiki
wao huku wengine wakifurahia na wengine kuonesha
kukerwa na kitendo hicho
Subscribe to:
Posts (Atom)